Salam wakuu!
Mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana hajafanya vizuri, amepata division four (pass).
Anataka arudie kidato cha tatu kama private candidate, naomba msaada wa shule nzuri ya BOARDING, mkoa wowote tanzania bt nikipata Dar, Bagamoyo, Moro au Pwani itakuwa poa zaidi.
ASANTENI SANA