Matutusgrandchild
Member
- Aug 29, 2014
- 73
- 2
Kwa mdau anayejua gharama na upatikanaji wa hostel binafsi au hata magheto ya kupanga kwa maeneo yanayozunguka Nit anijuze wakuu kwani niko first year pande hizo.Ahsanteni kwa michango yenu wadau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi admission letter za NIT zinapatikana wapi? maana kwenye mtandao hatuzioni!
chumba kzr ni elfu 50 kwa mwez...hostel za nje ya chuo,nying ni laki mbili kwa semester
hivi admission letter za NIT zinapatikana wapi? maana kwenye mtandao hatuzioni!
nenda pale chuoni moga kwa moja ktk ofisi ya registration uchukue hawna urasimu,au uko mbali na dar?
hivi tution fee(NIT) kwa kozi za engineering eg mechancal n automobile ni sh ngapi? maana kwenye TCU guidebook wameandika 1.5 million lakini kwenye website ya chuo(fee structure) haifki 1.5 mln ila ukijumlisha na direct cost ndo inafika sh 1.5M.So msaada kwa anayefahamu!
Kipi bora kati ya kukaa hostel za ndani ya chuo au nje?Rosey,hostel ziko karibu sana na chuo pia kuna zingne ziko mbali kidogo ila kwa kuwa hapa D'salaam hakuna umbali wa sehem.
Karibuni sana NIT ni chuo cha pekee na bora Afrika Mashariki kinachotoa kozi ya Transport and Logistics.