Msaada: Nafasi za hostel NIT

Joined
Aug 29, 2014
Posts
73
Reaction score
2
Kwa mdau anayejua gharama na upatikanaji wa hostel binafsi au hata magheto ya kupanga kwa maeneo yanayozunguka Nit anijuze wakuu kwani niko first year pande hizo.Ahsanteni kwa michango yenu wadau.
 
chumba kzr ni elfu 50 kwa mwez...hostel za nje ya chuo,nying ni laki mbili kwa semester
 
hivi tution fee(NIT) kwa kozi za engineering eg mechancal n automobile ni sh ngapi? maana kwenye TCU guidebook wameandika 1.5 million lakini kwenye website ya chuo(fee structure) haifki 1.5 mln ila ukijumlisha na direct cost ndo inafika sh 1.5M.So msaada kwa anayefahamu!
 
inakuaje kk nataka nihame coz ya procurement n logistic mngment kwenda logistics n transport mngement
 
0755 195691 kwa anayetaka hostel NIT,Gharama ni shs 450000 kwj mwaka wa masomo,umeme,maji na choo humohumo,advantage:wanaruhusu kukaa hata kipindi cha likizo yako.
Aidha,kwa chuo hapa wanaruhusu kubadilisha kozi hata kama una mkopo.
 

1.5 mil ni jumla ya ada na michango! Ada yake ni 1,205,000/=
 
Rosey,hostel ziko karibu sana na chuo pia kuna zingne ziko mbali kidogo ila kwa kuwa hapa D'salaam hakuna umbali wa sehem.
Karibuni sana NIT ni chuo cha pekee na bora Afrika Mashariki kinachotoa kozi ya Transport and Logistics.
 
Rosey,hostel ziko karibu sana na chuo pia kuna zingne ziko mbali kidogo ila kwa kuwa hapa D'salaam hakuna umbali wa sehem.
Karibuni sana NIT ni chuo cha pekee na bora Afrika Mashariki kinachotoa kozi ya Transport and Logistics.
Kipi bora kati ya kukaa hostel za ndani ya chuo au nje?
 
Bora ukakae hostel au mageto ya nje kijana,ndani c pazuri kwa kuwa vyumba ni vchache na watu wanabebana.
 
Na kuibiana cmu na laptops kama kawa ila kama na wewe unataka kwenda kuibiwa au kuiba nenda ukakae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…