Msaada: Nafikaje Ofisi za Uhamiaji Magomeni nikitokea Mabibo Sokoni?

Msaada: Nafikaje Ofisi za Uhamiaji Magomeni nikitokea Mabibo Sokoni?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara.

Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi.

Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
 
Zipo ilipo ofisi ya mkuu wa wilaya Kinondoni pale hospital.
 
Panda gari za Mabibo vs Gerezani afu shuka Magomeni Hospital
 
Kwa mkuu wa wilaya ghorofa ya kwanza kushoto mwisho
 
Back
Top Bottom