ABUBAKARY Barnabas
Member
- Nov 14, 2023
- 71
- 53
Wakuu wa JF nina tatizo moja naharisha lakini tumbo haliumi ila tu baada ya kula chakula huanza kukoroga mbaka nenda kuarisha baada ya hapo fresh tu ila ni ila tena inajirudia tena nina siku ya pili nimetumia frajir zimedunda