MSAADA:Nahisi dalili ya kilema kwa mwanangu.

No Doubt

Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
56
Reaction score
82
Wanaamvi habari za wikiendi,Nimejaaliwa kupata mtoto wa kiume miezi 2 na wiki 1 iliyopita,mtoto alizaliwa salama kabisa lakini kadri siku zinavyozidi kwenda na anavyo
 
Kawaida mtoto anaonwa na paediatrician kwa checkup ya wiki sita hapa matatizo yanaweza kuwa identified. Jitahid umuone daktari wa watoto
 
Kadri anavyozidikukua naona nikimsimamisha mguu mmoja anasimamia vizur ila mwingne anaukunja,badala ya kusimamia kiganja cha mguu yeye analazimisha kusimamamia juu,,naombeni msaada,je kunauwezekano wakurudia hali ya kawaida au mpaka kunyooshwa hisptali.karibuni,Mods mnisaidie kui Update hii thread ikae vizuri..
 
Mbona mapema sana kaa mtoto hajakomaa kabisa huyo wewe tulia usianze kumsumbua sumbua na wewe ukikuwa hvyo hvyo.....ndo wa kwanza nn......
 
oooh pole sanaa ila fuata ushauri wa Sky Eclat kama upo sehemu ambayo unaweza kumpeleka hata kesho pitia hapo kwanzaa naimani utapata huduma pole sanaa
 
Mbona mapema sana kaa mtoto hajakomaa kabisa huyo wewe tulia usianze kumsumbua sumbua na wewe ukikuwa hvyo hvyo.....ndo wa kwanza nn......
Ndo wa kwanza mkuu,nakuwa na wasiwasi sana kisije kuwa kilema..
 
Kadri anavyozidikukua naona nikimsimamisha mguu mmoja anasimamia vizur ila mwingne anaukunja,badala ya kusimamia kiganja cha mguu yeye analazimisha kusimamamia juu,,naombeni msaada,je kunauwezekano wakurudia hali ya kawaida au mpaka kunyooshwa hisptali.karibuni,Mods mnisaidie kui Update hii thread ikae vizuri..
Wa kwangu ana miez 3 yuko kama vile unavyosema sasa tatzo nn kaka achauogoa mm nina watoto 7 mapaka sasa...na kama wa kiume ndo kabisaaa huwa wazembe mno kuliko wa kike....
 
Mkuu mimi ndo mtoto wa kwanza,tangu hiyo hali itokee nimesononeka sana,,huwa siumii moyo bure ila kwahili nimeumia sana,maana mtoto ni mzuri kote ila nilivyoihisi hiyo hali nikakosa amani.
 
Wa kwangu ana miez 3 yuko kama vile unavyosema sasa tatzo nn kaka achauogoa mm nina watoto 7 mapaka sasa...na kama wa kiume ndo kabisaaa huwa wazembe mno kuliko wa kike....
Kwahiyo nijipe matumaini mkuu?
 
Kadri anavyozidikukua naona nikimsimamisha mguu mmoja anasimamia vizur ila mwingne anaukunja,badala ya kusimamia kiganja cha mguu yeye analazimisha kusimamamia juu,,naombeni msaada,je kunauwezekano wakurudia hali ya kawaida au mpaka kunyooshwa hisptali.karibuni,Mods mnisaidie kui Update hii thread ikae vizuri..
miezi 2 unataka mtoto asimame!!!
hebu kuwa hata na akili za kiutu-uzima basi chief...aaargh!

una umri gani wewe kwanza?
 
Back
Top Bottom