Kawaida mtoto anaonwa na paediatrician kwa checkup ya wiki sita hapa matatizo yanaweza kuwa identified. Jitahid umuone daktari wa watotoWanaamvi habari za wikiendi,Nimejaaliwa kupata mtoto wa kiume miezi 2 na wiki 1 iliyopita,mtoto alizaliwa salama kabisa lakini kadri siku zinavyozidi kwenda na anavyo
Mbona mapema sana kaa mtoto hajakomaa kabisa huyo wewe tulia usianze kumsumbua sumbua na wewe ukikuwa hvyo hvyo.....ndo wa kwanza nn......Kadri anavyozidikukua naona nikimsimamisha mguu mmoja anasimamia vizur ila mwingne anaukunja,badala ya kusimamia kiganja cha mguu yeye analazimisha kusimamamia juu,,naombeni msaada,je kunauwezekano wakurudia hali ya kawaida au mpaka kunyooshwa hisptali.karibuni,Mods mnisaidie kui Update hii thread ikae vizuri..
Piga 0737141543Ndo wa kwanza mkuu,nakuwa na wasiwasi sana kisije kuwa kilema..
sawasawa mkubwa usiwe na hofuu mpitishe kwa wataalamu watakusaidiaaShukrani sana mkuu,ntajitahidi nifanye hivyo.
Wa kwangu ana miez 3 yuko kama vile unavyosema sasa tatzo nn kaka achauogoa mm nina watoto 7 mapaka sasa...na kama wa kiume ndo kabisaaa huwa wazembe mno kuliko wa kike....Kadri anavyozidikukua naona nikimsimamisha mguu mmoja anasimamia vizur ila mwingne anaukunja,badala ya kusimamia kiganja cha mguu yeye analazimisha kusimamamia juu,,naombeni msaada,je kunauwezekano wakurudia hali ya kawaida au mpaka kunyooshwa hisptali.karibuni,Mods mnisaidie kui Update hii thread ikae vizuri..
PoaNtakucheki mkuu
Mkuu mimi ndo mtoto wa kwanza,tangu hiyo hali itokee nimesononeka sana,,huwa siumii moyo bure ila kwahili nimeumia sana,maana mtoto ni mzuri kote ila nilivyoihisi hiyo hali nikakosa amani.Wa kwangu ana miez 3 yuko kama vile unavyosema sasa tatzo nn kaka achauogoa mm nina watoto 7 mapaka sasa...na kama wa kiume ndo kabisaaa huwa wazembe mno kuliko wa kike....
miezi 2 unataka mtoto asimame!!!Kadri anavyozidikukua naona nikimsimamisha mguu mmoja anasimamia vizur ila mwingne anaukunja,badala ya kusimamia kiganja cha mguu yeye analazimisha kusimamamia juu,,naombeni msaada,je kunauwezekano wakurudia hali ya kawaida au mpaka kunyooshwa hisptali.karibuni,Mods mnisaidie kui Update hii thread ikae vizuri..
Hebu tulia kwanza Usipanic.. halafu Ndo Uandike nini kinamsumbua MwanaoWanaamvi habari za wikiendi,Nimejaaliwa kupata mtoto wa kiume miezi 2 na wiki 1 iliyopita,mtoto alizaliwa salama kabisa lakini kadri siku zinavyozidi kwenda na anavyo