tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Pole sana mkuu labda mbinu zako zimepitwa na wakati kuna hii ya vijana wa kileo wanaita spidi 120 kwenye kona yaani humpi hata muda wa kukataa lol! Inategemea na malengo yako kama wa kujivinjari nae baada ya wiki mbili tambaa zako lakini kama unataka kumuoa we komaa nae hata mwaka it will be worth the wait and effort.Sijisifu lakini najijua jinsi nilivyo na moyo wa uvumilivu pamoja na kubembeleza. Wasichana wote niliotumia muda{3} mrefu kuwapata, niligundua kwamba walinikubali kwasababu ya kuwaganda sana, mapenzi hayakudumu, waliniacha wakaenda. Sasa nimebadili uelekeo sitaki tena kusumbuana na mtu muda mrefu, lakini nikitafakari naona hii nayo inaweza kunigharimu. Naomba mawazo yenu, je reasonable time ya kumfatilia msichana ambaye ana +ve response ni upi? Nahis kushindwa na kukata tamaa.
We mwaga sera alafu sikilizia mapokeo utakayopata....akikwambia suburi ntakupa jibu basi subiri.Akileta mapozzz sijui ohhh staki nna wangu mie changanya miguu!
Ukiacha kumfukuzia anakuuliza vipi siku hizi mbona hatuwasiliani ? na alishakwambia nina mtu au siko tayari kwa sasa lol!Tatizo mabint hawamaanishi wanachokisema!
Mkipewa haraka hawana maana mkicheleweshwa mnadai mnazungushwa.Wanawake wa .com wana maana unakutana nae asubuhi, usiku unakula mzigo! .......
Ukiacha kumfukuzia anakuuliza vipi siku hizi mbona hatuwasiliani ? na alishakwambia nina mtu au siko tayari kwa sasa lol!
Tatizo mabint hawamaanishi wanachokisema!
kuna niliyemfatilia 2yrs, alikuja kukubali lakini baadaye akasema hakumaanisha alipodai ananipenda. Navunjika moyo wa kukomaa kila nikifikiria ile situation.Pole sana mkuu labda mbinu zako zimepitwa na wakati kuna hii ya vijana wa kileo wanaita spidi 120 kwenye kona yaani humpi hata muda wa kukataa lol! Inategemea na malengo yako kama wa kujivinjari nae baada ya wiki mbili tambaa zako lakini kama unataka kumuoa we komaa nae hata mwaka it will be worth the wait and effort.
Hivi mtu asiyekupenda/asiyekuhtaji anaweza akatumia 2hrs kuongea na wewe kwenye cmu,, ukikaa kimya anauliza imekuaje? Ukirudi kwenye mada unaambia "sitaki tu/nna mtu". Siwaelew hawa watu.Tatizo mabint hawamaanishi wanachokisema!
Tindikali, unaonekana upo very innocent, pole sana usikate tamaa, ngoja nikupe technique, wewe ni mtu smart? msafi, unajua kupigilia pamba? unanukia vizuri? ukimpenda msichana anaangalia vitu vingi sana, mwingine akisikia tu harufu ya manukato yako anakuganda mwingine akiona mkanda na kiatu tu baaasi ushamroga, mwingine akiona mwanaume kavaa shirt ya stripes baaasi karogeka, binafsi nikimwona mwanaume ameshonesha suruari halafu imekuwa paaaana hata kama mzuri vipi huwa simpi nafasi hata ya kumsikiliza...jipende kwanza utapendwa,Nyoa nywele na ndevu zako weka low cut, hii pia inavutia na unaonekana msafi, kuwa mchangamfu unapoongea na hao wapendwa wako, pia wasichana hawapendi wanaume waliozubaa, jokes za hapa na pale zitakusaidia,
Ya mwisho kabisa, ukiona umemuangaikia msichana sana kama miezi miwili haelekei, kata tamaa tulia kama wiki mbili hivi utaona anakutafuta mwenyewe, maana hatajiuliza ni ake mbona humsumbui tena?[
Nimeukubali ushirikiano wako,..........somo zuri
Kweli nimekuaminia umejuaje yote haya, ni kweli kabisa wanawake tuko hivoTindikali, unaonekana upo very innocent, pole sana usikate tamaa, ngoja nikupe technique, wewe ni mtu smart? msafi, unajua kupigilia pamba? unanukia vizuri? ukimpenda msichana anaangalia vitu vingi sana, mwingine akisikia tu harufu ya manukato yako anakuganda mwingine akiona mkanda na kiatu tu baaasi ushamroga, mwingine akiona mwanaume kavaa shirt ya stripes baaasi karogeka, binafsi nikimwona mwanaume ameshonesha suruari halafu imekuwa paaaana hata kama mzuri vipi huwa simpi nafasi hata ya kumsikiliza...jipende kwanza utapendwa,Nyoa nywele na ndevu zako weka low cut, hii pia inavutia na unaonekana msafi, kuwa mchangamfu unapoongea na hao wapendwa wako, pia wasichana hawapendi wanaume waliozubaa, jokes za hapa na pale zitakusaidia,
Ya mwisho kabisa, ukiona umemuangaikia msichana sana kama miezi miwili haelekei, kata tamaa tulia kama wiki mbili hivi utaona anakutafuta mwenyewe, maana hatajiuliza ni ake mbona humsumbui tena?
Mwanamke wakati akitongozwa anatakiwa aAPPLY kidogo ile nyimbo y MATONYA ft FID Q na cyo azidishe saana ataboa .......Mkipewa haraka hawana maana mkicheleweshwa mnadai mnazungushwa.
thanx kwa ushauri mzuri. kifupi nipo smart na jokes naziweza. kikubwa labda njitahidi kuboreshaTindikali, unaonekana upo very innocent, pole sana usikate tamaa, ngoja nikupe technique, wewe ni mtu smart? msafi, unajua kupigilia pamba? unanukia vizuri? ukimpenda msichana anaangalia vitu vingi sana, mwingine akisikia tu harufu ya manukato yako anakuganda mwingine akiona mkanda na kiatu tu baaasi ushamroga, mwingine akiona mwanaume kavaa shirt ya stripes baaasi karogeka, binafsi nikimwona mwanaume ameshonesha suruari halafu imekuwa paaaana hata kama mzuri vipi huwa simpi nafasi hata ya kumsikiliza...jipende kwanza utapendwa,Nyoa nywele na ndevu zako weka low cut, hii pia inavutia na unaonekana msafi, kuwa mchangamfu unapoongea na hao wapendwa wako, pia wasichana hawapendi wanaume waliozubaa, jokes za hapa na pale zitakusaidia,
Ya mwisho kabisa, ukiona umemuangaikia msichana sana kama miezi miwili haelekei, kata tamaa tulia kama wiki mbili hivi utaona anakutafuta mwenyewe, maana hatajiuliza ni ake mbona humsumbui tena?
wory out! Mapenzi, ngono sio chakula just asbsteen tena juna ngoma ! Kama wanakukataa wanakusaidia