SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 911
- 751
Nina kama miaka 10 tangu nijiunge kwenye chama cha (CHAPUTA), nimeshajaribu sana kujitoa lakini nashindwa.
Hii hali ya kujichua naona inaanza kuniletea shida, nikiwa ndani ya uwanja wa 6/6 mpenzi wangu namuandaa vya kutosha mpaka anakuwa hoi ila mimi nakuwa sina hisia kabisa najilazimisha kuwa na hisia lakini nashindwa hisia inakuja kiasi then inapotea.
Msaada wenu ndugu zangu, naona apa naelekea kudhalilika.