Tatizo langu ni kwamba nahisi kama muwasho au kama vile kuna wadudu wadogo sana mithili ya utitiri(kwa kuku) wanatambaa juu ya ngozi lakini si wadudu maana siwaoni
Pili naisi muda mwingine misuli ya baadhi ya sehemu za mwili inacheza. Hii ni dalili ya nini?msaada[emoji1317]