Msaada: Nahisi nina ugonjwa wa Fibromyalgia

Msaada: Nahisi nina ugonjwa wa Fibromyalgia

juan moses

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
2,403
Reaction score
2,478
Habari, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Nimekuwa na maumivu ya mwili viungo haswa upande wa kushoto toka shingoni, begani, mkononi, kwenye nyonga mpaka mguuni. Pia kichwa kimenisumbua muda mrefu takriban wiki na siku sasa.

Nilipoenda hospitali nikaambiwa nina malaria 3 ila mpaka sasa nakaribia kumaliza dozi ya mseto ila mwili bado unauma pamoja na uchovu usioisha. Yani isipouma shingo kinauma kiuno kama sio kiuno ni mguu ambao muda mwingi nauona ukiwa katika hali tofauti kulinganisha na mguu wa kulia ambao mpaka sasa sioni kama una shida yeyote. Hali hii ya kuumwa nyonga upande wa kushoto na mguu wa kushoto ilikua muda kama wa mwaka inakuja na kuacha, nikahisi labda because nilikua namasturbate kwa muda mrefu labda ndio sababu nikajitahidi kuacha ila now naona kama maumivu hayo yanazidi ukizingatia nipo tu nyumbani sina mihangaiko yeyote zaidi ya kuuza duka.

Lakini nikitembea au nikijishughulisha kama maumivu na izo numbness au tingling feeling zinasimama. Ila nikitulia zinarudi tena. Nimesoma naona hii condition inaitwa fibromyalgia na kwamba haina absolute cure au treatment, to be honest am so afraid koz that means mimi niwe mtu wa mapainkillers forever.


Kwa health,medical experts naomba mnipe insight nafanyaje maana mimi ndo kwanza graduate and I have alot of things to do in my life. Im so stressed out about this. Advice me anyone.

Help!!![emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
As much as this platform is called JF doctors the most u will get from here is ridicule and sarcasm. Stop assuming by self diagnosing yourself. Go and get a proper and thorough check up before concluding anything. From my tiny knowledge of medical advise, try exercising cause to me you sound like you are out of shape kwa kukaa tu na kuuza duka. All in all hospitali ndio utapata jibu sahihi. Ugua pole.
 
Habari Mimi Ni Kijana Wa Umri Wa Miaka 24. Nimekuwa Na Maumivu Ya Mwili Viungo Haswa Upande Wa Kushoto Toka Shingoni,Begani,Mkononi,Kwenye Nyonga Mpaka Mguuni. Pia Kichwa Kimenisumbua Muda Mrefu Takriban Wiki Na Siku Sasa. Nilipoenda Hospitali Nikaambiwa Nina Malaria 3 Ila Mpaka Sasa Nakaribia Kumaliza Dozi Ya Mseto Ila Mwili Bado Unauma Pamoja Na Uchovu Usioisha. Yani Isipouma Shingo Kinauma Kiuno Kama Sio Kiuno Ni Mguu Ambao Muda Mwingi Nauona Ukiwa Katika Hali Tofauti Kulinganisha Na Mguu Wa Kulia Ambao Mpaka Sasa Sioni Kama Una Shida Yeyote. Hali Hii Ya Kuumwa Nyonga Upande Wa Kushoto Na Mguu Wa Kushoto Ilikua Muda Kama Wa Mwaka Inakuja Na Kuacha,Nikahisi Labda Because Nilikua Namasturbate Kwa Muda Mrefu Labda Ndio Sababu Nikajitahidi Kuacha,Ila Now Naona Kama Maumivu Hayo Yanazidi Ukizingatia Nipo Tu Nyumbani Sina Mihangaiko Yeyote Zaidi Ya Kuuza Duka. Lakini Nikitembea Au Nikijishughulisha Kama Maumivu Na Izo Numbness Au Tingling Feeling Zinasimama. Ila Nikitulia Zinarudi Tena. Nimesoma Naona Hii Condition Inaitwa Fibromyalgia Na Kwamba Haina Absolute Cure Au Treatment,To Be Honest Am So Afraid Koz That Means Mimi Niwe Mtu.Wa Mapainkillers Forever.


Kwa Health,Medical Experts Naomba Mnipe Insight Nafanyaje Maana Mimi Ndo Kwanza Graduate And I Have Alot Of Things To Do In My Life. Im So Stressed Out About This. Advice Me Anyone.

HELP!!![emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
"Im So Stressed Out About This". Kama ulivyoeleza hiyo point ya mwisho hilo ndio tatizo lako, jaribu kupunguza mawazo, tafuta ni kitu gani ambacho kina weza kukuliwaza, kama walking, sports, kutembelea jamaa, kuongea na watu. usiwe unajitenga peke yako.
 
As much as this platform is called JF doctors the most u will get from here is ridicule and sarcasm. Stop assuming by self diagnosing yourself. Go and get a proper and thorough check up before concluding anything. From my tiny knowledge of medical advise, try exercising cause to me you sound like you are out of shape kwa kukaa tu na kuuza duka. All in all hospitali ndio utapata jibu sahihi. Ugua pole.
Thanks Mkuu. Izi Web Doctor Health Sites Unaeza Kujikuta Ni Marehem Unaetembea. Nitafanyia Kazi Ushauri Wako.
 
"Im So Stressed Out About This". Kama ulivyoeleza hiyo point ya mwisho hilo ndio tatizo lako, jaribu kupunguza mawazo, tafuta ni kitu gani ambacho kina weza kukuliwaza, kama walking, sports, kutembelea jamaa, kuongea na watu. usiwe unajitenga peke yako.
Poa Mkuu. Shukrani
 
nisamehe rafiki yangu huyu dogo bna kila siku lazima anitukane nikajiuliza vip kuja kumsoma kumbe ana majanga sasa anataka stress zake kuzitupa kwangu .aachane na mimi afe na majanga yake aniache
 
Back
Top Bottom