MSAADA: Nahisi ninashida kwenye mwili wangu. Vidonda vya tumbo, hofu, wasiwasi na uoga vimeniandama mno

SSEKK The Literally

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2023
Posts
1,134
Reaction score
1,905
Wakuu poleni na Majukumu na tuendelee kupambana, nimekuja kwenu kijana wenu nipate msaada wa changamoto inayonisibu kwa sasa.

Nmeugua vidonda vya tumbo tangu mwaka jana nligundulika baada ya kupata maumivu makali sana sehemu ya kifuani upande wa kushoto (sehemu ya moyo) nilipata vipimo na kuambiwa ni vidonda vya tumbo vimenisibu basi nikapewa dawa flani imeandikwa LCT KIT kwa maelekezo nitumie ndani ya two weeks then nirudi hospital nikapate vipimo wajue maendeleo yangu, nlitumia hiyo dawa hadi nikajisikia kupona kabisa, baadae kabla ya kumalza dose nliondoka nje ya mkoa hvo sikuweza kwenda kupata check up tena badala yake nlianza kunywa maji mengi kila asubuhi na nlijisikia vizuri na tumbo kupoa kabisa.

Sasa tangu mwezi wa May nasumbuliwa na tumbo na kuna kitu kimenikaa kifuani kwenye chemba ya moyo yani kinafanya nakuwa na hasira muda wote lakini pia nimekuwa ni mtu wa kushtuka na kutokujiamini kabisa, haitoshi nimekuwa na mtu wa kupelekeshwa tu hovyo yaani nmekuwa kama mjinga flani sieleweki.

Muda mwingi nakuwa sina furaha sina amani mnyonge na sipendi kuchangamana na watu hata Church nikienda naona hata kuimba aibu, kusalimia nmekuwa mzito yaani kiufupi sijiamini kabis hata kwa mpenzi wangu nmebadilika nmekuwa nikiwahi kufika kileleni sana kitu ambacho mpenzi wangu anasema namfanyia makusudi, sina hisia nae nawaza wanawake wengine yn ht nijitahd vipi ni bao mbili tu bao la 3 hisia hazipo kabisa hata afanye nini dah.

Jana nimekaa nikaona hapana mbona ni kama ninatatzo mm nmefikiria vidonda vya tumbo ndio sababu ya yote haya au kuna shida nyingne yn kwanini nakuwa hivi.

Nahitaji kujua mtu ukiwa na Stomach ulcers ndio unakuwa na mawazo tu, mnyonge, dhaifu, kujiona haufui, kushindwa kula, kichefuchefu, kuwahi kufika kileleni, kuwa na hasira muda wote, mtu akikukera hata ukimsamehe bado kuna muda utam-mind tu, kujishusha mithiri ya kuwa mtu usiejielewa?

Nahtaji msaada kwa hili.

Na mniombee ndg yenu maana ni aibu napata sasa.

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Attachments

  • ice_2024-04-27-18-09-28-688.jpg
    ice_2024-04-27-18-09-28-688.jpg
    4.1 MB · Views: 24
Pole sana kijana mimi babu yako nina changamoto hiyo lakini naikubali pili nakwepa watu wa kuniletea stress na mambo ya stress.Jikubali maisha yataendelea ondoa hofu
 
Hapo kwenye tendo la ndoa naona hakuna tatizo, bao mbili si haba!

Zingatia maelekezo ya wataalamu kuhusu afya/tatizo lako.

Sijui umeajiriwa au umejiajiri, jaribu kuseti target zako za kazi na achievements, zikomalie!

Kuwa na washkaji wacheche wa maana wa karibu ambao at least kila weekend utakuwa nao sehemu kwa stories 2 tatu!

Ukipata muda safiri safiri hapa na pale!
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Wakuu poleni na Majukumu na tuendelee kupambana, Nmekuja kwenu kijana wenu nipate msaada wa changamoto inayonisibu kwa sasa.

Nmeugua vidonda vya tumbo tangu mwaka jana nligundulika baada ya kupata maumivu makali sana sehemu ya kifuani upande wa kushoto ( Sehemu ya moyo) nilipata vipimo na kuambiwa ni vidonda vya tumbo vimenisibu basi nikapewa dawa flani imeandikwa LCT KIT kwa maelekezo nitumie ndani ya two weeks then nirudi hospital nkapate vipimo wajue maendeleo yangu, nlitumia hiyo dawa hadi nikajisikia kupona kabisa, baadae kabla ya kumalza dose nliondoka nje ya mkoa hvo sikuweza kwenda kupata check up tena badala yake nlianza kunywa maji mengi kila asubuhi na nlijisikia vzr na tumbo kupoa kbs.

Sasa tangu mwezi wa May nasumbuliwa na tumbo na kuna kitu kimenikaa kifuani kwenye chemba ya moyo yani kinafanya nakuwa na hasira muda wote lkn pia nimekuwa ni mtu wa kushtuka na kutokujiamini kbs, haitoshi nmekuwa na mtu wa kupelekeshwa tu hovyo yani nmekuwa kama mjinga flani sielewek, muda mwingi nakuwa sina furaha sina amani mnyonge na sipend kuchangamana na watu hata Church nikienda naona hata kuimba aibu ,kusalimia nmekuwa mzito yn kiufupi sijiamini kbs hata kwa mpenzi wangu nmebadilika nmekuwa nikiwahi kufika kileleni sana kitu ambacho mpenzi wangu anasema namfanyia makusudi, sina hisia nae nawaza wanawake wengine yn ht nijitahd vp ni bao mbili tu bao la 3 hisia hazpo kbs hata afanye nn dah.

Jana nimekaa nikaona hapana mbona ni kama ninatatzo mm nmefikiria vidonda vya tumbo ndio sababu ya yote haya au kuna shida nyingne yn kwanini nakuwa hv.

Nahtaji kujua mtu ukiwa na Stomach ulcers ndio unakuwa na mawazo tu ,mnyonge ,dhaifu ,kujiona haufui, kushindwa kula ,kichefuchefu ,kuwahi kufika kileleni, kuwa na hasira muda wote ,mtu akikukera hata ukimsamehe bado kuna muda utam-mind tu ,kujishusha mithiri ya kuwa mtu usiejielewa !? Nahtaji msaada kwa hili .

Na mniombee ndg yenu maana ni aibu napata sasa.

Natanguliza shukrani wakuu.

pole Sana Ila hizo hasira, chuki, roho mbaya negativity ,na kutojiamini jaribu kufanya meditation ndani ya wiki zitakata na utakaa sawa.

Acha kujichua na punguza ngono au acha ngono kwa muda 6 months .

Endelea kufatilia matibabu kwa daktari vizuri na ujipe muda wa kukaa na watu wanaoeleweka kuku-inspire..
 
Wakuu poleni na Majukumu na tuendelee kupambana, nimekuja kwenu kijana wenu nipate msaada wa changamoto inayonisibu kwa sasa.

Nmeugua vidonda vya tumbo tangu mwaka jana nligundulika baada ya kupata maumivu makali sana sehemu ya kifuani upande wa kushoto (sehemu ya moyo) nilipata vipimo na kuambiwa ni vidonda vya tumbo vimenisibu basi nikapewa dawa flani imeandikwa LCT KIT kwa maelekezo nitumie ndani ya two weeks then nirudi hospital nikapate vipimo wajue maendeleo yangu, nlitumia hiyo dawa hadi nikajisikia kupona kabisa, baadae kabla ya kumalza dose nliondoka nje ya mkoa hvo sikuweza kwenda kupata check up tena badala yake nlianza kunywa maji mengi kila asubuhi na nlijisikia vizuri na tumbo kupoa kabisa.

Sasa tangu mwezi wa May nasumbuliwa na tumbo na kuna kitu kimenikaa kifuani kwenye chemba ya moyo yani kinafanya nakuwa na hasira muda wote lakini pia nimekuwa ni mtu wa kushtuka na kutokujiamini kabisa, haitoshi nimekuwa na mtu wa kupelekeshwa tu hovyo yaani nmekuwa kama mjinga flani sieleweki.

Muda mwingi nakuwa sina furaha sina amani mnyonge na sipendi kuchangamana na watu hata Church nikienda naona hata kuimba aibu, kusalimia nmekuwa mzito yaani kiufupi sijiamini kabis hata kwa mpenzi wangu nmebadilika nmekuwa nikiwahi kufika kileleni sana kitu ambacho mpenzi wangu anasema namfanyia makusudi, sina hisia nae nawaza wanawake wengine yn ht nijitahd vipi ni bao mbili tu bao la 3 hisia hazipo kabisa hata afanye nini dah.

Jana nimekaa nikaona hapana mbona ni kama ninatatzo mm nmefikiria vidonda vya tumbo ndio sababu ya yote haya au kuna shida nyingne yn kwanini nakuwa hivi.

Nahitaji kujua mtu ukiwa na Stomach ulcers ndio unakuwa na mawazo tu, mnyonge, dhaifu, kujiona haufui, kushindwa kula, kichefuchefu, kuwahi kufika kileleni, kuwa na hasira muda wote, mtu akikukera hata ukimsamehe bado kuna muda utam-mind tu, kujishusha mithiri ya kuwa mtu usiejielewa?

Nahtaji msaada kwa hili.

Na mniombee ndg yenu maana ni aibu napata sasa.

Natanguliza shukrani wakuu.
kimbilia kwa Yesu kwanza, mengine yatafuata. Okoka leo, Mungu hatakuacha.
 
Naenda kanisani mkuu
kwenda kanisani haitoshi, unatakiwa kuokoka, na ujiunge na waliookoka wenzio ili muongee lugha moja, msaidiane katika maombi na kujifunza Neno la Mungu. dini haimpeleki mtu mbinguni, ila system nzuri ya kuabudu yenye misingi ya Kibiblia inaweza kukusaidia namna bora ya kumtafuta Mungu, chagua mahali penye system bora sio kwamba uende uokolewe na dhehebu hapana ila uende kwasababu system yao ni bora ili ikusaidie namna gani umtafute Mungu hadi umpate na upate uzima wa milele.
 
Nenda kwa Mwamposa
 
tatizo hujajua kitu gani kinakusumbua na inaonekana akili yako inawaza ushirikina labda umerogwa,unawaza huna nguvu za kiume ila nakushauri kwanza tulia na muombe mungu wako then nenda hospitali.

kuna uhusiano mkubwa kati ya magonjwa na hisia,jaribu ku calm down.
 
Sawa mkuu nmekuelewa pakubwa mno
 
tatizo hujajua kitu gani kinakusumbua na inaonekana akili yako inawaza ushirikina labda umerogwa,unawaza huna nguvu za kiume ila nakushauri kwanza tulia na muombe mungu wako then nenda hospitali.

kuna uhusiano mkubwa kati ya magonjwa na hisia,jaribu ku calm down.
Nashukuru sana kwa ushauri huu
 
Tangu nilipomjua YESU nikajiambia Sina Cha kupoteza vyote vina yeye.......unachokifikilia na kukutisha mwambie YESU kama shida ni................mapenzi Yako yatimizwe,vyote ni vyako ,atakufanyia wepesi
Amina ubarikiwe sana kwa faraja hii hakika YESU ni muweza wa yote sitaacha kumuomba na kumtegemea daima
 
Back
Top Bottom