Nenda kwenye maduka yanayouza viatu utapata. Hasa kariakooWaje tu mkuu, hivyo vibox vinahitajika.
Sawa mkuu una wazo zuri...ila hata hayo materials ya kutengeneza nayapata wapi hapa nchini?Very simple!!
Zisanii (unda mwenyewe nyumbani) yaani tafuta kijana (msichana/mvulana wape ajira) mwenye vidole vyepesi kutengeza vifugishio.. halfu kusanya materials hapo unawapa box moja as sampo...
Waige kutengeneza... kubali kuwa box 1..2..3 hazito kuwa biyeen!! Ila box zijazo zita kuwa best!! Hapo nahakikisha utaweza produce line nzuri za mabox!!
Hongera
nimeresearch materials zinazotumika kwa utengenezaji wa hizo boxes ni CORRUGATED CARDBOARD...labda sasa kama unafahamu nitakapoyapata apa nchini ili nwape vijana kazi wazitengeneze kam ulivyonena ndugu.Very simple!!