Agiza Dar au ZanzibarNatumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo.
Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani.
View attachment 2607550View attachment 2607552
Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi
Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa ushirikiano wenu wana-JF.
Zanzibar maeneo gani sikai mda mrefu naenda mara kwa mara {ni nyumbani}Agiza Dar au Zanzibar
Pia kama unatumia engine ya Yamaha 2 stroke ni vyema ukatumia Yamalube ndio offical lube ya Yamaha
Zanzibar cheki kwa jamaa wanaoleta Lubricants za kutoka Dubai.Zanzibar maeneo gani sikai mda mrefu naenda mara kwa mara {ni nyumbani}
Nahitaji hizo kwa ajili ya kuwauzia wavuvi wanàochanganya kwenye petrol nina chimbo langu maeneo flani
Ok nmejaribu kukufata kule pm lakini naona mambo hayajakaa sawaZanzibar cheki kwa jamaa wanaoleta Lubricants za kutoka Dubai.
2-Stroke jaribu kuwauzia na brand tofauti zipo nyingi sana mkuu ambazo ni recommended kwa hizo outboard engine
Ukiwa hapo Darajani muulize mtu yeyote kwenye duka au hao wa hapo Bandarini. Akutajie waagizaji wa oil za pikipiki na magari kutoka DubaiOk nmejaribu kukufata kule pm lakini naona mambo hayajakaa sawa
Tatizo ni kujua nikienda mtaa flani au kwa mtu flani naweza kupata na jana nimesafir nipo unguja mda ingekuwa vizur kama utanielekeza wapi nianzie