Msaada: Nahitaji bwana shamba wa kunipa muongozo wa kilimo Morogoro

wingman7

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
346
Reaction score
76
Habari,

Nipo Dar, nina shamba hekari 30 lipo Morogoro… Nahitaji Bwana shamba awe ananipa muongozo na elimu juu ya kilimo ili niweze kuwekeza.

Ahsanten..
 
Oky ungetoa mambo machache kama unaitaji kulima kilimo Gani ? Umwagiliaji au msimu wa mvua n.k Ili mambo yaende karibu Kwa huduma inbox kilimo ni sayansi ya mabadiliko
 
Nina shamba nahitaji kilimo cha umwagiliaji… nataka kuanza investment hio
 
Habari,

Nipo Dar, nina shamba hekari 30 lipo Morogoro… Nahitaji Bwana shamba awe ananipa muongozo na elimu juu ya kilimo ili niweze kuwekeza.

Ahsanten..
Shamba lako liko morogoro sehemu gani
Mimi sio bwana shamba Ila Niko Field kwa miaka minne Sasa.
 
Kwanini usiingie site kukutana na watu wanafanya mambo yanatokea . Watakupa uzoefu washika kalamu hawana uzoefu
 
Back
Top Bottom