Wakuu habarini dah naombeni msaada nimehangaika kutafuta contro box ya suzuki kei nimekosa , engine ya waya sita, naomba msaada kwani fundi kajaribu kila aina y contro box gari inakataa , kuwaka ina waka lakini kubadilisha gia ndo kwenye mtihan haikubali, naomba mtaallam anielekeze nitapat wapi, ? Kwani nilikuwa nayo engine ya waya saba na cotro yake ila engine imekufa, nikaamua kununua engine nyengine dar, nikatumiwa na contro box yake, bahati kufunga engine na gari kuwaka ina waka kishindo kipo kwenye kubadilisha gia, haikubali, nikatumiwa nyengine kama mbili hivi nijaribishe zote zinakatqq kabisa, nomba anae juwa anisaidie, engine k6a tupo fundi anasema gia box ipo sawa tatizo contro box shukran