Dorry Winnie
New Member
- Jun 3, 2021
- 2
- 0
Ebu tulia uandike vizuri, hivyo vipimo ulivyotoa viko kwenye unit ipi?Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800.
Nahitaji kupaua naomba msaada wa Fundi je nitatumia mbao ngapi na bati ngapi maana nimepeleka mafundi tofauti Kila mmoja anetoa hesabu zake.
Wa kwanza alisema mbao 150 na bati 70.
Wa pili amesema mbao 300 na bati 93 sielewi jamani.
Hiyo nyumba ina ramani? kama hakuna ramani ni razima fundi afike eneo nyumba ilipo aiangalie alaf mkubaliane aina ya paa unayotaka then mahesabu ya bati na mbao yatapatikana kirahisi.Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800.
Nahitaji kupaua naomba msaada wa Fundi je nitatumia mbao ngapi na bati ngapi maana nimepeleka mafundi tofauti Kila mmoja anetoa hesabu zake.
Wa kwanza alisema mbao 150 na bati 70.
Wa pili amesema mbao 300 na bati 93 sielewi jamani.
umeishampata?Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800.
Nahitaji kupaua naomba msaada wa Fundi je nitatumia mbao ngapi na bati ngapi maana nimepeleka mafundi tofauti Kila mmoja anetoa hesabu zake.
Wa kwanza alisema mbao 150 na bati 70.
Wa pili amesema mbao 300 na bati 93 sielewi jamani.
Kuna siku vipimo vyako viliingiza chaka vibaya.Idadi ya bati = Area ya nyumba * 1.5 / Size ya bati
= 5.55m x 8m x 1.5 m / (0.84m x3m)
= 27
Ramani ulisema ni ya nyumba ndogo mwisho wa siku nyumba imekuwa kubwa kuliko maelezoUnaweza ukani qoute hivyo vipimo? Na wewe ulifanyaje mpaka ukaingia chaka? Mimi ni fundi mbobezi sibahatishi.
Ni tag huo uzi.Ramani ulisema ni ya nyumba ndogo mwisho wa siku nyumba imekuwa kubwa kuliko maelezo
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800.
Wa kwanza alisema mbao 150 na bati 70.
Wa pili amesema mbao 300 na bati 93 sielewi jamani.
Ramani ulisema ni ya nyumninba ndogo mwisho wa siku nyumba imekuwa kubwa kuliko maelezo
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
HahhKuweni makini na mafundi wabobezi wa JF. Wengi ni saidia Fundi