Kama sehemu hakuna mobile data kuna uwezekano mkubwa provider wa wifi/fiber pia wasiwepo.Wakuu salama humu?
Naombeni msaada katika hili. Mahali nilipo huduma ya internet kupitia mitandao ya simu haipatikani na ikitokea inasoma E kiasi kwamba siwezi fanya cha maana kwa kutumia mtandao
Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kuunganishiwa wireless internet ili niwe natumia
wi-fi badala ya kuwasha data kwenye simu. Je, uwezekano upo na gharama itakuaje kwa mwezi au mwaka?
Asanteni.
Mifi ni kama simu tu, same modemNiweke kambi maana mimi pia na shida hiyo vipi nikitumia hizi mifi za mitandao?
Kumbe internet itabaki the same?Mifi ni kama simu tu, same modem
NdioKumbe internet itabaki the same?
Vip huu mtandao wa smart?Ndio
Smart walikuwa na minara mingi vijijini sijui Nani kai chukua sasa hv ndio maana nashauri kusearch manual network ili uangalie kama unaweza ku roam huko.Vip huu mtandao wa smart?
Hiyo ku search ndiyo una enanble roaming au?Smart walikuwa na minara mingi vijijini sijui Nani kai chukua sasa hv ndio maana nashauri kusearch manual network ili uangalie kama unaweza ku roam huko.
Kusearch kutakuonesha kama kuna mtandao mwengine tofauti na hii mikubwa.Hiyo ku search ndiyo una enanble roaming au?
Shukurani nimekuelewaKusearch kutakuonesha kama kuna mtandao mwengine tofauti na hii mikubwa.