Msaada, nahitaji joining instruction.. NDANDA HIGH SCHOOL

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
Kwa yeyote anayeweza kutoa msaada.. Natanguliza shukrani.
 
sasa tatzo wap? upate slxn zen afta 2day upate jng instrxn? ya waphyo? ingia google,ugoogle images zen utaona sare zao #SAMAHANI kama nimekuuz mkuu

kwan hakuna watu wanaoijua Ndanda?? Kama wewe hujui bora ukae kimya kaka.. Sio lazma ucomment kila thread..
 
kwa mwenye form ya joining instruction ya ndanda high school ya mwaka huu naomba anipostie yani nita shukuru sana
 
hebu ngoja niangalie website ya ndanda kama ipo active nikupe.......!!!!!!!!
 
Mimi Nipo lindi. Karibu na ndanda. Ngoja niulizie hapa lindi kama wamezileta stationary. Maana miaka yote wanaweka stationary za lindi na mtwara.
 
Tafadhali msaidie huyu ndugu ila nakumbuka kama nimeshawahi kuupload humu ya miaka kadhaa iliyopita.
😉 nmeangalia huu uzi nimetabasamu, thanks God nimemaliza salama Ndanda
 
Back
Top Bottom