Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Asante kwa majibu ya kitaaluma Mr mutuuUngekua na bajeti nzuri ningekushauri siku hizi wanafunga automatic gate monitors, mtu akigonga kengele unamcheki tu kupitia screen yaani hata dada wa kazi anakufungulia geti pasipo kufika, anabonyeza tu button ndani geti linajifungua ukipita linajifungua
Ila kwa bajeti yako labda ufunge tu vile vikengele sasa ukitaka na screen itabidi uongeze dau
Weka mlinzi.Msaada wakuu, nakereka na hodi na mtu sina mpango kumfungulia. Sasa geti linapogongwa napata wakati mgumu kuacha au kufungua.
Wakati mwingine hodi hizo ni fursa wakati mwingine ni kero na kuzipotezea. Hicho ndicho kitu hasa nataka.
Screen ndogo, kengele kutoka getini kuja ndani kwangu.
Wadau fulani walitaka laki 5 kwangu kwa kengete tu na ka Screen!
Ushauri wadau.
Ramadhan Mubarak.