Habari zenu jamani,
Nilikua nina apply cheti cha kuzaliwa online nikaambatanisha kitambulisho cha baba na leaving certificate wakadai ni-update kitambulisho cha mama na cheti cha la saba ila sasa nikitaka kuremove ili ni update walivyodai vile vya mwanzo vinagoma kuremove nifanyeje jamani msaada.