lynch
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 299
- 258
Habari za asbh ndugu zangu,
Moja kwa moja kwenye Mada, Kutokana na changamoto ya ajira nimeamua kujichanganya na nianzishe biashara ya yangu mwenyewe ya kuagiza mzigo kutoka alibaba au aliexpress then ntakuwa nausukuma mtaani.
Changamoto ninayokutana nayo,nashindwa jinsi ya kuagiza hiyo mizigo,Nimejaribu kusoma maelekezo yao kuanzia Bei zao,Shipping fee,na Na njia ya kufanya malipo ya bidhaa siwaelew,Jukwaa la biashara najua kuna watu wengi wenye utashi na Uzoefu mbali mbali wanaweza kunitoa Tongo tongo na kwenye hili.Naomba msaada kwa yoyote mwenye Exposure kwenye hizi mambo.natanguliza shukrani naamin na mm sitatoka kapa ktk jukwaa hili.
NB:
Nimefanya uchunguzi wa ndani Na mkubwa kabsa kwa hawa wafanya biashara wakubwa Wa k.koo na wao huagiza mzigo kwa hawa hawa Jamaa sema wao wana deals na stores husika kwa kuchukua mzigo in large Quantities.