Msaada: Nahitaji kuagiza mzigo kupitia Alibaba au Ali Express

lynch

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
299
Reaction score
258
Habari za asbh ndugu zangu,

Moja kwa moja kwenye Mada, Kutokana na changamoto ya ajira nimeamua kujichanganya na nianzishe biashara ya yangu mwenyewe ya kuagiza mzigo kutoka alibaba au aliexpress then ntakuwa nausukuma mtaani.

Changamoto ninayokutana nayo,nashindwa jinsi ya kuagiza hiyo mizigo,Nimejaribu kusoma maelekezo yao kuanzia Bei zao,Shipping fee,na Na njia ya kufanya malipo ya bidhaa siwaelew,Jukwaa la biashara najua kuna watu wengi wenye utashi na Uzoefu mbali mbali wanaweza kunitoa Tongo tongo na kwenye hili.Naomba msaada kwa yoyote mwenye Exposure kwenye hizi mambo.natanguliza shukrani naamin na mm sitatoka kapa ktk jukwaa hili.

NB:
Nimefanya uchunguzi wa ndani Na mkubwa kabsa kwa hawa wafanya biashara wakubwa Wa k.koo na wao huagiza mzigo kwa hawa hawa Jamaa sema wao wana deals na stores husika kwa kuchukua mzigo in large Quantities.
 
 
Shukran kwa link chief
 
Shukran kwa link chief
Kwa sasa mizigo midogo midogo inawahi, muda wiki mbili kuingia ya tatu unakuwa umepata mzigo wako, kipindi cha corona mizigo ndio ilikuwa inachukua muda sana. na mzigo ukifika tu posta wanakitumia ujumbe
 
kwa sasa mizigo midogo midogo inawahi, muda wiki mbili kuingia ya tatu unakuwa umepata mzigo wako, kipindi cha corona mizigo ndio ilikuwa inachukua muda sana. na mzigo ukifika tu posta wanakitumia ujumbe
Mrejesho mzuri sana.Asante
 
Kwa sasa mizigo midogo midogo inawahi, muda wiki mbili kuingia ya tatu unakuwa umepata mzigo wako, kipindi cha corona mizigo ndio ilikuwa inachukua muda sana. na mzigo ukifika tu posta wanakitumia ujumbe
Kumbe Corona imeisha ..
 
shida yako unaonekana hujui kabisaa,pia sio kila kilichoandijwa Alibaba ni kweli jaribu kuongea na supplier direct
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…