C Cachondo Senior Member Joined May 6, 2019 Posts 144 Reaction score 139 Aug 26, 2019 #1 Habari zenu Wakuu, Naomba kuuliza kwa yeyote anaejua ni wapi wanafundisha lugha ya Kireno kwa bei nafuu kwa hapa Dar es Salaam naomba anijulishe
Habari zenu Wakuu, Naomba kuuliza kwa yeyote anaejua ni wapi wanafundisha lugha ya Kireno kwa bei nafuu kwa hapa Dar es Salaam naomba anijulishe