Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 312
wadau heshima yenu! Kama kuna mdau yeyote anayeweza nipa information za kutosha kuhusiana na hii kozi inayotolewa pale chuo cha tra mwenge naomba anipe tuu sababu naona page yao haifunguki.
Ninachohitaji hasa ni:
:admission yao inakuaje? Tarehe ya kuapply for this year na deadline huwa inakua lini from past years experince?
:Advantages za kusoma hii kozi vilevile na disadvantages?
#Natanguliza zangu shukrani#