msaada: nahitaji kufahamu kuhusu postgraduate ya taxation

Charlie chaplin

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
336
Reaction score
312
wadau heshima yenu! Kama kuna mdau yeyote anayeweza nipa information za kutosha kuhusiana na hii kozi inayotolewa pale chuo cha tra mwenge naomba anipe tuu sababu naona page yao haifunguki.
Ninachohitaji hasa ni:
:admission yao inakuaje? Tarehe ya kuapply for this year na deadline huwa inakua lini from past years experince?
:Advantages za kusoma hii kozi vilevile na disadvantages?

#Natanguliza zangu shukrani#
 
kigezo kikubwa uwe na accounts background nzuri undergraduate au experience in tax practices!
institute of tax administration wanatoa hiyo kozi wa miezi 18 kama sikosei na wakajifunza vitu vingi sana tofauti na IFM wanaosoma 12 months
pia mwaka huu SAUT dar campus wameanza kutoa hiyo course.
hasara yakusoma kozi hii huku ukitegemea ajira ni mbaya sana kwani mwajiri mkubwa ni tra tu,ila kama unafanya ili uwe expert au taxconsultant faida ni kubwa sana,utapiga dili sana hapa mjini

all the best mkuu
 

asante nashukuru nimekuelewa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…