Msaada: Nahitaji kufanya biashara ya blog

Estyzo

Senior Member
Joined
Jul 24, 2011
Posts
158
Reaction score
39
Habar zenu wadau,

Kutokana na uhaba wa ajira TZ sio siri kujiajiri ndio suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazani muda mwingi nautumia mtandao hivyo hii shughuli itanifaa

Naomba kwa wanaojua biashara hii kwa maeneo yetu tulipo inafanyikaje mpaka ikuletee faida kabisa jinsi ya kupata viewer wengi kwenye blog yangu.

Natanguliza shukrani,
 
Wenzako wanasambaza picha za uchi wawapoteze wana wa adamu. Wewe tafuta mtoko mwingine, usimsaidie shetani kuharibu jamii
 

wazo zuri kama umeamua kujiajir kwa kupitia njia hiyo lakin opinion zangu ni kwamba ili uwe climax katka mlengo wako ni lazima ujarib ku-import sana naked image ili ziwe na viewerz wengi hapo utafanikiwa kwa kiasi flan japo utakuwa unakipoteza hiki kizaz cha nabii adam
 

nazan hapoa nitavutia watu wengi ila nitakuwa contrary na policy za google.
 
Wenzako wanasambaza picha za uchi wawapoteze wana wa adamu. Wewe tafuta mtoko mwingine, usimsaidie shetani kuharibu jamii

picha za uchi google hawaruhusu na mtoko mwingine kama upi mkuu nishauri hasa masuala ya mitandao i.e I.T
 
picha za uchi google hawaruhusu na mtoko mwingine kama upi mkuu nishauri hasa masuala ya mitandao i.e I.T
Mimi nina blogu lakini haipo kibiashara, ila sasa nafikiria pengine niiweke kibiashara.
Mpaka sasa hivi nina page views 112,959 na [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kwa[/FONT] siku watu zaidi ya 250 na kwa mwezi watu zaidi ya elfu 10 wanatembelea blogu yangu. Unadhani hii inaweza kuwavutia watu wanaotaka kutangaza biashara zao?
 
mtafute le mutuz au dada mitikisiko wa rahatupu blog
 
yap lakin njia ya uhakika upo google adsense kwa page view hizo unaweza tengeneza pesa
 
Jaribu kupitia hapa TENGENEZA BLOG YENYE WASOMAJI WENGI (HIGH TRAFFIC BLOG) - ChapishaChapisha
 

Call This Guy ...0714604974 atakusaidia .....
 
nami naomba mnipe maelezo ya mwanzo kabisa mpaka nipate nami blog vp kuhusu gharama na mambo mengine kama faida n.k
 
Napenda sana nami kumiliki blog hivyo nilikuwa naomba ushauri wa namna yakuendesha blogs, gharama zake na faida kwa ujumla na hata hasara.Naomba kuwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…