Hello,
Nimerejea tena jukwaani baada ya ban la wiki tatu [emoji23] hakika niliwamiss sana[emoji18]
Nahitaji kufanya biashara ya kutengeneza juisi, kuzi pack na kuzisambaza madukani kwa oda maalumu. Juisi zenyewe ni za matunda hayahaya asilia. Mtaji ninao tayari! [emoji126][emoji126]
Msaada ninaouhitaji:
1. Ni wapi naweza pata vichupa maalumu vya plastic size ya kawaida tu, mfano wa vile vya maji ya 500?
2.Pia wapi nitawapata watu wa kunitengenezea vile vikaratasi vya maandishi vinavyozungushwa kwenye chupa? Nahitaji kuviwekea picha yangu mimi na maandishi ya kutambulisha juisi yangu.
3. Gharama za kila kichupa na pia gharama za kila kikaratasi cha maandishi (label). kwa hapa Dar lakini.
Msaada tafadhari! [emoji26]