Mimi ni Mwl wa grade A ,nahitaji kujiendeleza kielimu mwaka huu lakini sitaki kupitia kusoma a -level .Kaelimu kangu ni ka 4m 4.Nahitaji kusomea education Sio kwa kuenda kila siku manake bado nafanya kazi tena private school, nifanyaje?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums