Wakuu ninahitaj msaada wenu wa mawazo,nipo huku a town ila sijui niende mahal gani pa kumpata wakili wa kuniapisha,ili niweze endelea na kes yangu ya madai nilofungua katika taasisi fulani hapa arusha.Je kuna gharama ntazodaiwa kwa huduma hiyo.Naomben msaada wenu