PlayBoyMwema JF-Expert Member Joined Jul 27, 2014 Posts 1,714 Reaction score 1,829 Feb 11, 2016 #1 Habari wadau ningependa kusaidiwa sehemu gani hapa dar ambapo yanauzwa mabelo ya sendo,ndala na yebo yebo za mtumba....mawasiliano yangu ni 0673 659759
Habari wadau ningependa kusaidiwa sehemu gani hapa dar ambapo yanauzwa mabelo ya sendo,ndala na yebo yebo za mtumba....mawasiliano yangu ni 0673 659759