Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unapenda ipi?ila Boxer nzuriBinafsi, Naomba ushauri ipi ni nzuri na imara zaidi kati ya Boxer, Sanlg, Haojue au kama kuna nyingine yoyote ile
Boxer zinasumbua piston sanawewe unapenda ipi?ila Boxer nzuri
Mkuu hiyo tvs yako umetumia muda gani?...au kama vp nichek pm unitumie picha yake mkuu...Kama unataka used ninayo tvs nasukuma 950000.....hakuna pikipiki nzuri kama tvs; zunguka kote kwenye injini tvs inabaki kuwa mnyama
Mkuu tuma picha tufanye biasharaKama unataka used ninayo tvs nasukuma 950000.....hakuna pikipiki nzuri kama tvs; zunguka kote kwenye injini tvs inabaki kuwa mnyama
Mkuu tuma picha tufanye biashara
haha TVS 150 na TVS 125.Wakuu Tvs 150 si ni kama boxer 150 tu? Ina advantage zipi over boxer!?
Kuna Star hlx 125 na hlx 150 zote ni sawa tofauti yake ni ukubwa was EngineNaona star no nzur ila naomba ushaur kwa hapo maana wengine wanasema tvs