Msaada: Nahitaji kununua pikipiki kwa ajili ya matumizi

FRASTUS

New Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Binafsi, Naomba ushauri ipi ni nzuri na imara zaidi kati ya Boxer, Sanlg, Haojue au kama kuna nyingine yoyote ile
 
haojue naona imekaa vyema kuhusu swala la kudumu sijui ila kwasabb ndo wanatafuta soko lazima bidhaa zao za mwanzo zitakuwa vizuri
 
Kama unataka used ninayo tvs nasukuma 950000.....hakuna pikipiki nzuri kama tvs; zunguka kote kwenye injini tvs inabaki kuwa mnyama
Mkuu hiyo tvs yako umetumia muda gani?...au kama vp nichek pm unitumie picha yake mkuu...
 
NJOO NIKUPE XL ORIGINAL (ZILE ZA MILIONI 7) ILIKUWA YA MRADI IMETUMIKA MIAKA 2 TU, NOW NAIMILIKI MIMI. JAPO KA BEI KAMESIMAMA ILA NJOO TUYAJENGE. ANY ONE INTERESTED PIA NJOO PM.
 
Naona star no nzur ila naomba ushaur kwa hapo maana wengine wanasema tvs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…