Msaada; Nahitaji kupata mkopo

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,115
Reaction score
2,231
Ndugu wana JF nawasalimu,

Baada ya salam husikeni na kichwa cha mada,

Kama kinavosema nina shida ya kupata mkopo na nina dhama ya biashara na kiwanja na pia ninaishi kwangu yaani sijapanga.

Naomba kama kuna mtu anahusika na mikopo au ana ndugu au rafiki hata jamaa anaehusika na mkopo iwe bank au taasisi yoyote aniunganishe naye ila nilikuwa nahitaji mkopo wa milion 6 kuendelea na uwe mda mrefu kama miaka 2 au hata 3 ili isinisumbue kuulipa maana nafahamu hela ya bank au ya kukopa haipotei hata sh 100 inatakiwa kulipwa yote.

Kwa mawasiliano njoo PM au nibipu nitakupigia 0756695846 au 0716258599,nipo dar mitaa ya tbt

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu na samahani kwa usumbufu.
 
Sawa mkuu,
ngoja waje
 
Naona mmeamua kunisusa
 
Kama unahivyo vyote andaa documents zake nakushauri uende kwenye ofsi mojawapo ya hizo taasisi za kifedha utapata mkopo we nenda utakutana na customer care watakupa ushauri na utaratibu wote ili kufanikisha mkopo wako.
Natumai itakusaidia.
 
Kama unahivyo vyote andaa documents zake nakushauri uende kwenye ofsi mojawapo ya hizo taasisi za kifedha utapata mkopo we nenda utakutana na customer care watakupa ushauri na utaratibu wote ili kufanikisha mkopo wako.
Natumai itakusaidia.
Sawa
 
Hivi ni kweli academic certificates mfano za o-level na advance zinaweza kuwa dhamana ya mkopo ?
 
Hahaha ndio mkuu
Nilihitaji sana kama kilo 3 tu
duh mbona kahela kadogo hivyo!!! Hapo utakuwa hujaweka vyeti dhamana bali ni sawa na umeviweka kwenye tundu la choo...unajua kwanini? Kwa sababu kilo 3 pekee ni risk!! Nilidhani labda kuanzia 1m ingefaa kuinvest hata kwenye micro-scale enterpreneurship ila sio 300k ni ndogo sana labda kama unataka ya kula tu.
 
Yeah ni ya kutumia tu mkuu
But like you have said.ngoja nivitunze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…