Osha mchele na roweka kwa muda kutegemea na aina ya mchele.
Kata kuku vipande upendavyo, safisha kisha chemsha vipande vyako pamoja na chumvi, pilipili iliyosagwa, thomu na tangawizi.
Kuku akishawiva, mtoe weka kwenye bakuli safi, Bakisha supu katika sufuria.
Tia mafuta kiasi katika sufuria, kaanga vitunguu hadi vigeuke rangi na kuwa ya hudhurungi.
Tia thomu na tangawizi na binzari zote, kisha kaanga tena kidogo.
Tia viazi katika mchanganyiko wako huo, kisha endelea kukaanga kidogo.
Tia vipande vyako vya kuku na supu (iliyobaki wakati wa kupika kuku) katika mchanganyiko wako huo, acha ichemke kidogo kisha tia maji, kisia kutokana na mchele unaotumia.
Mwisho tia mchele koroga uchanganye na vitu vyote acha ichemke kiasi kisha funika na punguza moto mpaka uive (huku ukiugeuzageuza).
Ukishakuwa tayari pakua kwenye sahani tayari kwa kula.
Pishi la pilau: Dondoo
Chakula hiki kinaweza kutosha mlo wa watu 3-4, unaweza kuongeza au kupunguza vipimo vya mahitaji kulingana na idadi ya walaji. Pilau ya kuku ni vizuri ikiliwa na salad na pilipili. Pia unaweza kushushia pamoja na juisi ya matunda. Natumai umefurahia pishi letu la leo waweza kutoa maoni yako hapo chini kuhusu jinsi ya kupika pilau ya kuku. Akhsanteni

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.