Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Kaka nitapika kweli hapaZoezi simple kabisa Hili; mend kanunue vile viongo vya help jelo, para vitunguu swaumu na maji Kazi imeisha
Naona umeamua kunena kwa lughaZoezi simple kabisa Hili; mend kanunue vile viongo vya help jelo, para vitunguu swaumu na maji Kazi imeisha
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hadi mimi mwenyewe nimeshangaaNaona umeamua kunena kwa lugha
Nashukuru sanaJinsi ya kupika pilau ya kuku: Hatua kwa hatua
Mahitaji
- Mchele wa basmati kilo 1
- Kuku ½
- Viazi 5
- Vitunguu 2
- Thomu iliyosagwa 3 vijiko vya supu
- Binzari ya pilau nzima 1 Kijiko cha chakula
- Binzari ya pilau 1 kijiko cha chai
- Pilipili manga nzima ½ kijiko cha chai
- Karafuu nzima 10
- Iliki nzima 8
- Mdalasini nzima 6 vijiti
- Pilipili mbichi iliyosagwa 3
- Chumvi kiasi
- Mafuta ya kupikia ¼ lita
Namna ya kupika pilau- Hatua kwa hatua
Pishi la pilau: Dondoo
- Osha mchele na roweka kwa muda kutegemea na aina ya mchele.
- Kata kuku vipande upendavyo, safisha kisha chemsha vipande vyako pamoja na chumvi, pilipili iliyosagwa, thomu na tangawizi.
- Kuku akishawiva, mtoe weka kwenye bakuli safi, Bakisha supu katika sufuria.
- Tia mafuta kiasi katika sufuria, kaanga vitunguu hadi vigeuke rangi na kuwa ya hudhurungi.
- Tia thomu na tangawizi na binzari zote, kisha kaanga tena kidogo.
- Tia viazi katika mchanganyiko wako huo, kisha endelea kukaanga kidogo.
- Tia vipande vyako vya kuku na supu (iliyobaki wakati wa kupika kuku) katika mchanganyiko wako huo, acha ichemke kidogo kisha tia maji, kisia kutokana na mchele unaotumia.
- Mwisho tia mchele koroga uchanganye na vitu vyote acha ichemke kiasi kisha funika na punguza moto mpaka uive (huku ukiugeuzageuza).
- Ukishakuwa tayari pakua kwenye sahani tayari kwa kula.
Chakula hiki kinaweza kutosha mlo wa watu 3-4, unaweza kuongeza au kupunguza vipimo vya mahitaji kulingana na idadi ya walaji. Pilau ya kuku ni vizuri ikiliwa na salad na pilipili. Pia unaweza kushushia pamoja na juisi ya matunda. Natumai umefurahia pishi letu la leo waweza kutoa maoni yako hapo chini kuhusu jinsi ya kupika pilau ya kuku. Akhsanteni
Hili pilau la msela😂😂Zoezi simple kabisa Hili; nenda kanunue vile viungo vya jelo, pata vitunguu swaumu na maji Kazi imeisha
nifundishe biriani mkuuJinsi ya kupika pilau ya kuku: Hatua kwa hatua
Mahitaji
- Mchele wa basmati kilo 1
- Kuku ½
- Viazi 5
- Vitunguu 2
- Thomu iliyosagwa 3 vijiko vya supu
- Binzari ya pilau nzima 1 Kijiko cha chakula
- Binzari ya pilau 1 kijiko cha chai
- Pilipili manga nzima ½ kijiko cha chai
- Karafuu nzima 10
- Iliki nzima 8
- Mdalasini nzima 6 vijiti
- Pilipili mbichi iliyosagwa 3
- Chumvi kiasi
- Mafuta ya kupikia ¼ lita
Namna ya kupika pilau- Hatua kwa hatua
Pishi la pilau: Dondoo
- Osha mchele na roweka kwa muda kutegemea na aina ya mchele.
- Kata kuku vipande upendavyo, safisha kisha chemsha vipande vyako pamoja na chumvi, pilipili iliyosagwa, thomu na tangawizi.
- Kuku akishawiva, mtoe weka kwenye bakuli safi, Bakisha supu katika sufuria.
- Tia mafuta kiasi katika sufuria, kaanga vitunguu hadi vigeuke rangi na kuwa ya hudhurungi.
- Tia thomu na tangawizi na binzari zote, kisha kaanga tena kidogo.
- Tia viazi katika mchanganyiko wako huo, kisha endelea kukaanga kidogo.
- Tia vipande vyako vya kuku na supu (iliyobaki wakati wa kupika kuku) katika mchanganyiko wako huo, acha ichemke kidogo kisha tia maji, kisia kutokana na mchele unaotumia.
- Mwisho tia mchele koroga uchanganye na vitu vyote acha ichemke kiasi kisha funika na punguza moto mpaka uive (huku ukiugeuzageuza).
- Ukishakuwa tayari pakua kwenye sahani tayari kwa kula.
Chakula hiki kinaweza kutosha mlo wa watu 3-4, unaweza kuongeza au kupunguza vipimo vya mahitaji kulingana na idadi ya walaji. Pilau ya kuku ni vizuri ikiliwa na salad na pilipili. Pia unaweza kushushia pamoja na juisi ya matunda. Natumai umefurahia pishi letu la leo waweza kutoa maoni yako hapo chini kuhusu jinsi ya kupika pilau ya kuku. Akhsanteni
Hili pilau la msela[emoji23][emoji23]
Kasema maji na viungo vya jero imeisha, ukila hilo pilau lake utajuta hilo tumbo😂😂🙌Yaani la kamanda[emoji23][emoji23]
Birian unaongeza rang tuuuu kwenye walije biriani linapikwaje?
Kasema maji na viungo vya jero imeisha, ukila hilo pilau lake utajuta hilo tumbo[emoji23][emoji23][emoji119]
na mchuzi kaka?maana naona ni mtamu balaa yani mm napendaga mchuzi ule.Birian unaongeza rang tuuuu kwenye wali
shida sio rangi, shida ni lile rojo[mix ya nyama na viungo vingne] lake kuliandaaBirian unaongeza rang tuuuu kwenye wali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Naona umeamua kunena kwa lugha
Mkuu vipi ulieza kupika!?Nahitaj kupika pilau nyama ya kuku ya kukaanga na mchuzi, njegere, viazi
Naweza changanya pilau njegere na kuku viazi kwa pamoja.
Na mahitaj yake ni yapi