Asante Sana mkuu, nakuchek PMRahisi tu, ingia kwenye tovuti ya brela then fuata maelekezo ni elfu 20, kwa kuwa ni kijana unayejitafuta basi hakuna haja ya kukuelekeza zaidi ila ukitaka nikusajilie basi nipe elfu 15 nikufanyie kazi yako, wewe utasubiria tu jina lako la biashara.
Habari, usajili wa jina jipya la biashara unafanyika moja kwa moja kwa njia ya mtandao kupitia ors.brela.go.tz, unatakiwa kuwa na namba ya kitambulisho cha taifa (NIN),namba ya simu,barua pepe pamoja na sanduku la posta. Gharama za usajili wa jina jipya la biashara nj TZS. 20,000/=.Wakuu kwema nikiwa Kama kijana ninae jitafuta naombeni mwongozo ili niweze kusajili jina la biashara.
Nina mpango wa kufungua huduma za kifedha japo mtaji Bado sjafanikiwa kupata.
Nina leseni ambayo ime expire mda.
Nina tin number.
Asanteni.[emoji120]
Kuna haja ya kuwa la Logo?Habari, usajili wa jina jipya la biashara unafanyika moja kwa moja kwa njia ya mtandao kupitia ors.brela.go.tz, unatakiwa kuwa na namba ya kitambulisho cha taifa (NIN),namba ya simu,barua pepe pamoja na sanduku la posta. Gharama za usajili wa jina jipya la biashara nj TZS. 20,000/=.
Habari, hapana, katika usajili wa jina jipya la biashara unatakiwa kuwa na namba ya kitambulisho cha taifa (NIN),namba ya simu,barua pepe pamoja na sanduku la posta.Kuna haja ya kuwa la Logo?
Hata TIN number haina haja?Habari, hapana, katika usajili wa jina jipya la biashara unatakiwa kuwa na namba ya kitambulisho cha taifa (NIN),namba ya simu,barua pepe pamoja na sanduku la posta.
Habari Brela, naomba kuuliza vipi kama sanduku la posta hauna, je unaweza ukasajili jina?Habari, hapana, katika usajili wa jina jipya la biashara unatakiwa kuwa na namba ya kitambulisho cha taifa (NIN),namba ya simu,barua pepe pamoja na sanduku la posta.
Habari, kama hauna sanduku la Posta la ofisi yako unaweza kutumia sanduku la Posta la mtu wako wa karibu ambaye unamuamini au unaweza kutumia sanduku la Posta la kanisa au msikiti ilikuweza kukamilisha usajili.Habari Brela, naomba kuuliza vipi kama sanduku la posta hauna, je unaweza ukasajili jina?
Habari, namba ya mlipa kodi (TIN) utafuatilia kutoka Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) baada ya kumaliza usajili wa jina la biashara yako BRELA.Hata TIN number haina haja?
Shukrani kwa maelezo mazuri, hapo nimewaelewa.Habari, kama hauna sanduku la Posta la ofisi yako unaweza kutumia sanduku la Posta la mtu wako wa karibu ambaye unamuamini au unaweza kutumia sanduku la Posta la kanisa au msikiti ilikuweza kukamilisha usajili.