Msaada: Nahitaji kusoma Bachelor degree ya pili

Kwan bachelor yako ya mwanzo ni ya fani gani?

Naomba hili nisilijibu coz sitaki kuwakatisha tamaa watu wakati maamuzi yangu yanatokana na utashi wangu na wala sio na coz niliyosoma.
 

Kusoma ni malengo bro tena kwa nia njema ya kuendeleza Taifa langu. Career change ni jambo la kawaida hasa pale unapopata maono na utashi wa kufanya mambo nje ya taaluma yako. Kwa nchi za wenzetu hilo ni jambo la kawaida sana.
 
sas si ungechange mapema kabla ujamaliza chuo? watu wengine wanasifa kweli elimu ya chuo kikuu ushapata baada ufanye kazi ujilipie masomo yako.unakuja kuwabania wenzako na kama nngekuwa mm ndo naingia first year alaf nikakosa mkopo lazma nngekuloga ili UDISCO thats becouse ujielewi
 

Punguza hasira mkuu. Dont take it personal!! Usiwaze kazi tuuu bado nna miaka zaidi ya hamsini ya kufanya kazi
 
Naomba hili nisilijibu coz sitaki kuwakatisha tamaa watu wakati maamuzi yangu yanatokana na utashi wangu na wala sio na coz niliyosoma.

Km unaona tabu kujibu basi na ss tukusaidieje...piga kazi ht km si ya fani yako upate hela...umesomea degree ya kufukua kinyesi nn...hakuna fani isiyo na faida
 
Kitambo kulikuwa na sheria ya kuwa unakaa miaka 3 kabla haujapata mkopo mwingine wa kusoma. Haujalipa wa kwanza, unataka mkopo mwingine babangu? Ila usikate tamaa, ingia web yao chukua namba na uwatwangie uulize.
 
Km unaona tabu kujibu basi na ss tukusaidieje...piga kazi ht km si ya fani yako upate hela...umesomea degree ya kufukua kinyesi nn...hakuna fani isiyo na faida

ni malengo wala sio suala la maslahi. Koz nliyosoma inalipa fresh tu
 
he heee,hapa najuta kwann niliianza hyo kitu, kaka tafuta kazi kwanza utanikumbuka!
 
We apply kama applicant wengine tu, ila angalia na umri usijezaa wajukuu
 
tafuta kazi acha ukuzi unaweza ukawa na phd na ajira uspte,mwenzio nina diploma ya accountant nawait michongo ikae poa nizame jeshin napenda nchi yangu na raia wake
 
Habari Wadau.

Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine. Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida.

Thanks in advance.
Bachelor degree ya pili maana yake unataka kusoma bachelor nyingine tofauti na uliyosomea mwanzo au ulikuwa unamaana unataka kusoma degree ya pili yaani Masters...???sijakuelewa dogo
 
Bachelor degree ya pili maana yake unataka kusoma bachelor nyingine tofauti na uliyosomea mwanzo au ulikuwa unamaana unataka kusoma degree ya pili yaani Masters...???sijakuelewa dogo

Namaanisha degree nyingine.
 
Huwezi pata mkopo tena kabla mkopo wa kwanza kuulipa....simple hapo cha kufanya jilipie tu au tafuta kazi na uwe unasoma jioni kwa kujilipia.....

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kusoma bachelor degree ya pili ni vizuri zaid kwani itakuongezea ushindani katika soko la ajira na pia kuweza kufikia hayo mlengo yako.
Usikate tamaa, ni vitu vya kawida sana nchi za nje.

Suala la bodi ya mkopo mi nadhani uende makao makuu ukapate maelezo zaidi mwenyewe, ila utaratibu wa zamani ilikikuwa unalipa kwanza robo ya mkopo ulochukua mwanzo ndio upate mwingine ila kwa sasa sina hakika juu ya hilo, maan mambo hubadilika kila leo.
 
Habari Wadau.

Kampuni ya Kitanzania ya Rasello imefanya maajabu kwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania taji la Kampuni bora inayochipukia yaani StartUp.

Ewe Mtanzania mwenzangu onyesha uzalendo kwa kuipigia kura kupitia hapa The Global Webit StartUp Challenge Audience Award. Tafuta Rasello utaiona chini yake kukiwa na jina la nchi yetu nzuri Tanzania.

Regards.
 
mi nilivyoona unasema degree ya pili nilidhani Masters kumbe co duuh kujieleza shida ata ukiwa umemaliza chuo

amesema bachelor nyingine, hajakosea kujieleza, we ndiye uliyekosea kumweelewa(bachelor=digrii ya i na master=digrii ya pili), na mdau kasema bachelor nyingine na si digrii ya pili.
Kwa ushauri mkuu badala ya kusoma digrii ya kwanza ya kitu kingine, kwa nini usisome pgd ya hiyo digrii ili ikusaidie kufanya masters ya hicho unachotaka kufanyia bachelor nyingine.
Note:kama umefanya bachelor ya sayansi unaweza kufanya pgd ya kozi nyingi za arts na biashara then master yake, ila arts/biashara kwenda pgd ya sayansi then masters never
Ila kwa nini unafanya hivyo?
 

Wazo zuri..
 
Wazo zuri..

pia kuna exception sikuiweka kwenye post ya kwanza. Hiyo kitu ipo applicable katika kozi za art vs b'ness na sayansi kuja art/biashara. Kwa upande wa arts/biashara kufanya pgd ya sayansi ili uifanyie master ni ndoto.
Hata sayansi kuna sehemu huwezi kutumia hyo njia ili kudeviate master yako from first degree mfano md, archtech, civil, elect, n.k
 

Big point!! Mkuu SUKAH hata mimi Nimetake point
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…