Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Habari wanajamvi.
Kuna kampuni ipo China nataka kushirikiana nayo kutengeneza vifaa vya wanawake kama diapers pamoja na Watoto pampers. Nataka kufahamu ni mamlaka gani huwa zina idhinisha kati ya TBS na nyinginezo? Hizi mamlaka zinawawakilishi huko China ili nipeleke sample kabla ya kutengeneza mzigo wote?Tafadhali mwenye kufahamu hayo anifahamishe.