Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tafuta ujuzi wa kushona nguo au kutengeneza video za katuniUlinzi,Kubeba mizigo,kufagia, kutunza bustani, utingo wa magari makubwa (maroli),n.k
Pia nina ujuzi katika; Sales and marketing zaidi ya miaka 9, Data collection,Data analysis, Usimamizi wa miradi ya serikali na binafsi.
Nataka uwe na ujuzi wa kutosha, kwa sababu kuna workshop nategemea kufungua karibuni, uwe na uwezo wa kushona suruali muundo wa kadeti,pisi 300 kwa mweziNguo nashona Mkuu,ila kukata tu ndio sijajua bado,ila kupima na kushona naweza vizuri tu.
Je hiyo itafaa?
Mkuu hapo katika workshop yako wanahitajika washonaji tu? Ninao uwezo wa kufanya kazi nyingine tofauti au inayokaribiana na hiyo.Nataka uwe na ujuzi wa kutosha, kwa sababu kuna workshop nategemea kufungua karibuni, uwe na uwezo wa kushona suruali muundo wa kadeti,pisi 300 kwa mwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo Kyela mwanangu, nakupeleka Malawi kwa buku 10 tu
Kwa sasa nataka wazalishaji kwanza, baadaye watu wa masoko na ITMkuu hapo katika workshop yako wanahitajika washonaji tu? Ninao uwezo wa kufanya kazi nyingine tofauti au inayokaribiana na hiyo.
Kwa kuongezea ni kwamba,nafundishika kwa haraka sana.
Kuna mtu anapigwa muda simrefu.Ili jibu lako nipe muda maana namtu ndio ana mwezi tangu asepe bongo.
Kuna mtu anapigwa muda simrefu.