Ni android Tv mkuuHisense smart tv inatumia vidaa au ni android tv?
Phone yangu ni Samsung galaxy grand prime proHio screen cast, smart view, dlna, mirrocast, wifi display na wengine zote ni wifi.
Vyema ungetaja model ya simu.
Nimecheki inayo wifi direct.Phone yangu ni Samsung galaxy grand prime pro
Shukrani sana ngoja nilifanyie kazi kabsaNimecheki inayo wifi direct.
Last time natumia samsung ukienda setting Kisha wifi juu kushoto unakuta option ya wifi direct. Click hapo ku initiate...
Then nenda kwenye tv somewhere Kuna option ya kuweka TV yako on iwe visible then itatokea kwenye simu then connect.
Ikikubali tuambie maana na sisi wengine tunapata somo mahali kama hapa...
Njia hii I nahitaji simu iwe na usb 3.1, simu za zamani lowend kama J series hazina.Ikishindikana njia ya Chief-Mkwawa! Nenda kanunue waya wenye kichwa upande mmoja ni HDIM port na upande mwingine uwe na kichwa cha MICRO USB type C (unaofanana kama pini ya chaja ya simu), yaan HDIM to micro usb type C! Then upande mmoja (HDIM port) chomeka kwenye TV yako na upande ule unaofanana na chaja ya simu chomeka katika simu yako! Then furahia mwonekano wa simu yako katika TV!