ze future
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 204
- 299
Habari yako, mimi ni kijana wa miaka 20s ni mhitimu wa chuo 2020(Bachelor Degree in Tax Management).
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa napokea maoni mbalimbali haswa hapa mtaani wakinishauri kuwa niende nikaigize maana naonesha kuwa ninakipaji hiko, binafsi nahitaji sana kuwa muigizaji endapo nitapata nafasi ya kuonyesha huu uwezo wangu niliokuwa nao.
Ombi langu;
Nakuja hapa endapo kuna mtu aliyekuwa na ufahamu ni njia, kipi au hata connection ya mimi kuweza kufanikisha naingia kwenye hii tasnia ya maigizo.