karibu sana, kwanza, kazi ya sanaa inaanza na kuhudhuria auditions, yaniHabari yako, mimi ni kijana wa miaka 20s ni mhitimu wa chuo 2020(Bachelor Degree in Tax Management).
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa napokea maoni mbalimbali haswa hapa mtaani wakinishauri kuwa niende nikaigize maana naonesha kuwa ninakipaji hiko, binafsi nahitaji sana kuwa muigizaji endapo nitapata nafasi ya kuonyesha huu uwezo wangu niliokuwa nao.
Ombi langu;
Nakuja hapa endapo kuna mtu aliyekuwa na ufahamu ni njia, kipi au hata connection ya mimi kuweza kufanikisha naingia kwenye hii tasnia ya maigizo.
Nimekuelewa na nakutafuta ili kesho niweze kufika.karibu sana, kwanza, kazi ya sanaa inaanza na kuhudhuria auditions, yani
mtengeneza muvi (producer? huandaa audition kupata watu wa kucheza kazi yake
kuna kupata hiyp nafasi ama kukosa, ila faida ni kuwa kadri uhudhuriavyo auditions ndio unatengeneza connection na wasanii wezako, hivyo kufahamu jinsi ya kupata kazi n. k
kesho kuna audition ili kupata wacheza tamthilia sehemu inaitwa davis corner, huko tandika kuanzia saa tatu asubuhi, fika kwenye audition hiyo, utafanya audition na kukutana na wasanii wengine
fika davis kona tandika kesho januari 6, kuanzia saa tatu asubuhi, mimi pia nitakuwepo
nicheki kwa namba 0742 938 055
Unaweza kunipa Wajihi wako hata Kwa PM....Nimekuelewa na nakutafuta ili kesho niweze kufika.