Msaada nahitaji laini ya AirtelMoney

Zesh

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
15,395
Reaction score
25,049
Habari wakuu

Samahani naombeni mwongozo kwa mwenye kufahamu ....
Nahitaji laini ya airtelmoney kutoka makao makuu ya airtel sasa sijajua natakiwa nifate njia zipi ili niweze kupata na kwa gharama IPI....
Mwenye kufahamu naomba mwongozo

Ahsante
 
Habari wakuu

Samahani naombeni mwongozo kwa mwenye kufahamu ....
Nahitaji laini ya airtelmoney kutoka makao makuu ya airtel sasa sijajua natakiwa nifate njia zipi ili niweze kupata na kwa gharama IPI....
Mwenye kufahamu naomba mwongozo

Ahsante
Hivi kuna laini maalumu?

Mimi najua laini hiyo hiyo inafanya na Airtel money.
 
Ni rahisi sana mkuu, inabidi tu uwe na TIN, LESENI ya biashara na Kitambulisho chako. Ukiwa na hivyo unatembelea wakala mkuu wa eneo lako akusaidie kupata line ya uwakala (kupata contacts za wakala mkuu wa eneo ulilopo nenda ofisi za Airtel iliyopo karibu watakupa contacts).

Hakuna gharama yoyote unayotakiwa kutoa zaidi ya vitu vidogo vidogo kama sijui mkataba sijui muhuri wa mwanasheria kutokana na utaratibu wa huyo wakala mkuu.

Muda wa kuisubiria hiyo line mpaka uipate nao siyo mrefu kihivyo , hauwezi kuzidi miezi miwili.


Kama unataka ready made, nitakuuzia. nitafute Inbox

Hope nimekusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…