Aman Cosmas
Member
- Mar 17, 2013
- 29
- 6
habari wana jf kama title inavyo sema naomba kujua mahali ambapo nitapata elimu ya ufugaji wa kuku iwe wa kienyeji wa kisasa. mn nakaa dar es salaam tumefunga chuo ss mpaka mwezi wa nane sina kazi nyumbani naombeni msaada wenu tafadhali asante
Aman kama upo Dsm ni-pm nitakusaidia.
Mkuu hebu jaribu kuingia jukwaa la ujasiriamali kule kuna thread nyingi za namna ya kufuga kuku wa aina zote.
darasa lipo.hapa hapa free
ss mdau mtakuona vp aisee nipe contact zako
Aman kama upo Dsm ni-pm nitakusaidia.