Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Nyonyoma,Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata majina ya mtoto wa kike au wa kiume, majina yawe ya kiasili ya Afrika na sio ya kikoloni kwa maana ya Kizungu au Kiarabu, kwa upande wa majina ya Kiswahili pia sitaki, mfano wa majina ya kiswahili ni kama Sikitu, Shida, Masumbuko, Mwamini, Majaliwa, Chuki, n.k
Karibuni wadau.
Hayo ya jinsi gani? kama hutojali unaweza ukaweka maana zake?Nyonyoma,
Nchichiwona,
Limbanga &
Apondogolo.
Hayo ni ya jinsi gani na maana zake ni zipi?Mwaisa
Kidumbuyo
Mashauri
Nimependa sanaBuyegi (Ke) Furaha ni Sukuma hiyo
Nyanda (Me) Kijana sukuma
Luaga,Hayo ni ya jinsi gani na maana zake ni zipi?
Hili nalo nenooWewe asili yako ni mtu wa wapi? Tafuta majina ya asili yenu maana hata Waafrika siyo watu wa jamii moja.
Ukiondoa Mawingu na Furaha hayo mengine yote ni maneno ya Kiarabu.Sadiki
Salama
Rehema
Mawingu
Amani
Nuru
Furaha
Haya ni ya Kiafrika kweli?Pamela
Pendaeli
Betina
Roza
zena