Msaada: Nahitaji namba ya simu ya Msaga Sumu na Snura

Msaada: Nahitaji namba ya simu ya Msaga Sumu na Snura

Aventus

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2,011
Reaction score
2,168
habari za majukumu wana jamvii..?
kama kichwa cha uzi kinavojieleza.

Nina ka hotel kangu huko mikoa ya pwani.Tokana na wimbi kubwa la wateja wangu wanapenda singeli.Nimeonelea hawa wasanii watanifaa sana kwa Christmas na new year.

changamoto ni mawasiliano yao.kila ninavopambana nipate sifanikiwi.

please mwenye mawasiliano ya hao wasanii anisaidie ama kama wenyewe wapo itakua ni vema.kuwasiliana na mimi tufanye kaz.Asante
 
Pwani wapi, Kimanzichana? Dah, huko Msaga Sumu akifika mgambo wa kijiji watakuwa na kazi kubwa sana ya kutuliza ghasia. Maana mapokezi makubwa yanamsubiri.
 
Mkuu mi naweza singeli nimetumbuliwa nikaona nijifunze singeli na kiduku ili nijifanye manfongo huko pwani hawamjui msaga sumu so nitaperform tu
hahaha unatafuta balaa mzee
 
Pwani wapi, Kimanzichana? Dah, huko Msaga Sumu akifika mgambo wa kijiji watakuwa na kazi kubwa sana ya kutuliza ghasia. Maana mapokezi makubwa yanamsubiri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hotel wanapenda miziki ya msaga sumu...kweli pwani wanapenda vigodoro.


Uku mikoani sisi washamba tukienda hotelini tunasikiliza miziki aina hii.
Donwiliam
Jeemreezy
Kenroger
Whtyhouston
Eltonjohn
Michael Jackson
R Kelly
Ladyjaydee
Kidumu

Ukipiga jaqdaniel inashuka bila fujo.

Ukiweka masingeli yako utaishia kutukanwa tuu.
 
Kuleta wasanii wa singeli hotelin ni kujiandaa kupokea wateja waswahili, na waswahili sijui kama wanahela ya kuspend hotelini
 
Back
Top Bottom