Ya Gucci Grace unayo pia?nataka kupiga show mpaka asubuhi pale leaders
Ya Gucci Grace unayo pia?nataka kupiga show mpaka asubuhi pale leaders
Balaa gani mkuu mbona kawaidahahaha unatafuta balaa mzee
Na wewe sasa umekuwa kama dokta Shika, promo mingiiii!insta sijafanikiwa ila kama snura nasikia yuko chini ya hk(manager).Aisee nimejaribu kuongea na aslay anataka 10M.duuuh
Aslay kwasasa yuko hot ni halali kuchaji hivyoinsta sijafanikiwa ila kama snura nasikia yuko chini ya hk(manager).Aisee nimejaribu kuongea na aslay anataka 10M.duuuh