Mkuu kutoka 150k mpk 1M atleast ungesema posho nitoe 200k ningeelewaAndaa nyaraka zako Zote zinazohusu uraia wako, sababu ya kuhitaji passport, taarifa za huyo mwenyeji wako huko uendako, kama ni biashara, muariko, shule nk,,, harafu Andaa kibunda maana kwa taratibu kabisaaaa mpaka kupata passport kwa mwez mmoja, 150000,,ila Kuna express 1,000,000 hiyo ndani ya siku moja mpk siku saba! Lkn utapata passport baada ya mamlaka kujiridhisha kama unastahili kupata, kwakuwa lazima wafanye nyatu nyatu. Kala la kheri mkuu huko ughaibun
Upo mkoa gani?Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho.
Natanguliza shukrani
fanya maombi online jaza soft copy documents zote kupitia uhamiaji portal lipia elf 20 kisha nenda ofisi ya uhamiaji kwa ajili ya finger print na kulipia laki na nusuHabari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho.
Natanguliza shukran🙏
Nenda ukawaone Uhamiaji, wao watakusaidia kutatua tatizo lako hili.Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho.
Natanguliza shukran🙏
Kwenda Zimbabwe hapo napo mpaka passport mkuuZimbambwe
najua jua limewaka vip unalaki 7 ndani ya siku 4Mkuu hiyo inakaa mwezi nilikua na uhitaji kabla ya tar 5 march
UnapatajeKwenda Zimbabwe hapo napo mpaka passport mkuu
Wakati sisi tunaendaga bila passport hapo
Kwa ninavojua na experience nliyona mwezi mmoja hauishi huwa ni siku14 tu ukifanya taratibu zote tena online unaenda tu wilayani wanakupitishia, mwisho mkoani kwa 150000, ila express mmhhAndaa nyaraka zako Zote zinazohusu uraia wako, sababu ya kuhitaji passport, taarifa za huyo mwenyeji wako huko uendako, kama ni biashara, muariko, shule nk,,, harafu Andaa kibunda maana kwa taratibu kabisaaaa mpaka kupata passport kwa mwez mmoja, 150000,,ila Kuna express 1,000,000 hiyo ndani ya siku moja mpk siku saba! Lkn utapata passport baada ya mamlaka kujiridhisha kama unastahili kupata, kwakuwa lazima wafanye nyatu nyatu. Kala la kheri mkuu huko ughaibun