Msaada: Nahitaji projector kwa ajili ya presentation.

Msaada: Nahitaji projector kwa ajili ya presentation.

Twilumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
12,576
Reaction score
14,522

Wadau ninaomba ushauri ni aina gani ya Projector kwa ajili ya presentation ou video projection. Ntashukuru kama ntapata ushauri wa kitaalam, specification, Picha pamoja na Price (approximately).

Naomba kuwasilisha kwa matumaini makubwa kwamba ntapata msaada kutoka kwa Great Thinker.
 
Mkuu, ununuaji wa projector unategemea sana na matumizi na connection zake, kama unahitaji kwa matumizi uliyo yaeleza hapo juu, basi unaweza kuitafuta hii Acer X1130P SVGA Projector.

Hii kitu mkuu ni HD and 3D ready, lakini haina connection ya HD, ila unaweza kutumia s-video, AV and a VGA. No need for the screen. Na ina huwezo wa kuchagua rangi ya ukuta unao utumia kuproject picha. ukubwa wa picha unafika mpaka futi 6

Details:
Brightness 2500cd/m2.
Contrast ratio 3000:1. 1.07 billion colours.
Lamp Life:3000hrs - 4000 Hrs
Lamp type: DLP
Project Distance: 1.2 m - 7.62 m
Image Size: 0.73 m - 11.3 m
Weight Kg's: 2.3
Power saving facility.
Ceiling mountable.
Connectivity: VGA, composite, S-Video.
Size: Size H9.5, W22.5, D26.4cm.

http://www.projectors.co.uk/images/X1130P.pdf

Note:
Mimi binafsi naitumia home kwangu, kwa kuangalia Movies na kuhakikishia kuwa hii kitu ni nzuri.
 
Back
Top Bottom